House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko zuri lenye makabati
Bei:150,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo
==
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
#0710614924
#0688653940