House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #120K
Chumba cha kulala sebule Choo na jiko
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 6
Umeme wawili lkn submeter
Umbali KM 2.5 Usafiri bajaji zipo
Nyumba nimpya kabisa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37