House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENTS MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150k
Chumba cha kulala master
Sebule
Jiko kubwa
Public toilet ndani pia
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 4
Umeme wawili kuna submeter na maji yanaflow chooni
Umbali KM 3 Usafiri bajaji 700 na bodaboda
Fence ndo inajengwa parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167