House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZR SN YA KIBACHELA INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAM TZ ENEO KIBAMBA MLOGANZIRA DK 10 HADI KWENYE NYUMBA KUTOKA SEND YA MLOGANZIRA
YENYE
MASTA BEDROOM NA JIKO ZURI LENYE MAKABATI INA TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK GET
💰KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MOJA NA ELFU 155K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
#0625606710