House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
MAHALI KIBAMBA SHULE
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINNING ROOM
JIKO
PUBLIC TOILET
STORE
MAJI DAWASCO,UMEME UPO
NYUMBA IPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI FENS IPO
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 350000X6
☎️ #0757208653