House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


📍KIGAMBONI DARAJANI
👉APARTMENTS ZINAPANGISHWA NI MPYAA
👉ZIPO NNE KATI GHOROFA MOJA
👉NYUMBA ZOTE ZIMEFUNGWA A/C
👉JIKONI WANAFUNGA MAKABATI
👉NYUMBA IPO HATUA YA MWISHO
...................................................................................
🏠SEBLE/CHUMBA/JIKO & CHOO
💰BEI; 500,000/= KWA MWEZI
👉MALIPO NI MIEZI 6
..................................................................................
✅UMEME UNAJITEGEMEA
✅NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
✅PARKING KUBWA
✅MAJI/USALAMA NI MASAA 24/7
..................................................................................
📲CALL/WHTSP
📲0714079500
#milladayoupdates
#milladayo
#dsm