House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NEW APARTMENT MPYA KABISA KALI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIGAMBONI DARAJANI BEI LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA NYUMBA INA VYUMBA VIWILLI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET KALI MAJI YANA FLOW NDANI LUKU YAKO TILES GYPSUM SLIDE WINDOW NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KODII LAK 6 ×6
##0655256419