House/Apartment for Rent at Kiluvya, Pwani







APARTMENTS MPYAA ZINAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #120k
Chumba cha kulala sebule jiko na choo ndani
Kodi 120,000 kwa mwezi × 3
Umbali KM 1.5 toka kituoni Boda boda 1000
Ndani ya fence zipo 5 tu kila mtu Inajitegemea umeme na maji parking kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0785889413