House/Apartment for Rent at Kiluvya, Pwani
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #200k
===
Chumba cha kulala kikubwa mno
Sebule kubwa sana
Choo ndani
Jiko zuri kubwa
Bei:200,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali km 1 bodaboda 1000 unaweza Kutembea pia
==
Ndani ya fence parking IPO
Inajitegemea umeme na maji
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167