House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(100,000X5)KIMARA MWISHO 2.3KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENTS NZURI SANA INAPANGISHWA ZIKO MBILI TU NDANI YA FENSI ..UMEME WANASHARE WAWILI NA MAJI
SIFA ZAKE:
CHUMBA MASTER
SEBULE
LOCATION "KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2.3..USAFIRI BAJAJI 1000..UKISHUKA DK 1 UPO NDANI
BEI:LAKI 100,000 X MIEZI 5
SERVICES CHARGE ELFU 15,000
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453