House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
STUDIO ๐ฅ STUDIO FOR RENT ๐ฅ BEI NI 200,000/= X 6 # IPO WAZI NI YA KUHAMIA TUU
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# HAKUNA JIKO
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/= X 6
UKILIPIA KODI UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
__
#0714335450
#0714335450
__
PIGA SIMU UKISHAELEWA MAELEZO