House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA NA NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 200,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
KIKUBWA
KUBWA
KUBWA
KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC)
NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
APARTMENT 4 KWENYE ENEO MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 200,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BODABODA SHILINGI ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530