House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#OFA #OFA #OFA NIMEISHUSHA KODI KIDGO KUTOKA 400K HADI 380X6
============
#380X6 NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
==================
LOCATION:KIMARA KOROGWE
==============
KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
==============
BRBR NI LAMI YA ZEGE MPKA GETIN
===============
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA CHOO NDANI
================
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
================
TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI FULL A/C
=================
NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR SANA NA TULIVU
===============
KODI NI 400X6 BILA MALIPO YA MWEZI MMOJA WA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
================/
SERVICHAJ ELFU 15
===================
CONTACT
##0655256419