House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA #300k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( public)
Na Jiko
===
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu toka kituoni
===
UMEME NA MAJI NI BURE KABISA
===
Ndani ya fence parking IPO
===
NB: Mpangaji awe MSELA WA KIUME AU WAKIKE AU MUME NA MKE TU ⚠️⚠️
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====