House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Location: KIMARA SUKA
Distance: KM 1 BODA 1000 AU UNAWEZA TEMBEA DK 15 KWA MIGUU
-SEBULE KUBWA
-CHUMBA MASTER
-JIKO NJE(PEMBENI)
-UMEME WAKO
-MAJI UNAJITEGEMEA
-PEVING BLOCKS
-FENSI PARKING KUBWA
-PUBLIC TOILET NJE
-NYUMBA MPYA YAN MPYAA
-WAPANGAJI WA TANO TUU SEHEM NZUR
KODI 200,000 ร 6
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp