House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/11/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#MASTER BERD ROOM AND KITCHEN
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO LENYE MAKABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI HAKUNA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
0715949085



















