House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/= × 6
💥#ZIMEBAKIA 2 TUU NDUGU MTEJA CHANGAMKA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA NA KABATI LAKE
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIR CONDITION KOTE (𝗔/𝗖)
#HEATER
# FREE Wi - Fi
#GARDEN NZURI
#ULINZI BURE MASAA 24
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 400,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300