House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200.000/= X 3
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA CHA NDANI
#JIKO
#LUKU YAKO MAJI INAJITEGEMEA
BEI 200.000/= X 3 lAKI MBILI KODI MIEZI MITATU
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETERS 1 BODA ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
##0655256419