House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA 
LOCATION KIMARA TEMBONI 
KODI 150,000X4
UMBALI KUTOKA 
MOROGORO ROAD KM 2.5 
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA NDANI 
INAJITEGEMEA UMEME NA  MAJI YANA FLOW MAJI DAWASA MASAA 24
HAIPO NDANI YA FENSI USALAMA UPO WAKUTOSHA BARABARA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 
NAUKIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637




















