House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 2 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master na sebule na jiko zuli inajitegea umeme na maji nyumba ni ya gorofan
Nyumba ipo ndani ya fence
Hapa panatakiwa wasela
BEI YA PANGO NI SH 250,000 X 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 ITADUM MPAKA UPATE NYUMBA
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
#0710614924
#0688653940__
☆☆☆