House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya Chumba master Sebule na Jiko..Full A/C (400,000) #KIMARA_KOROGWE
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
ZIPO KIMARA KOROGWE
KODI NI 400X6
SIFA ZAKE
=========
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
LUKU YAKE
MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
FULL A/C
PAVING BLOCKS
FENS PARKING KUBWA
FULL CCTV CAMERAS
ULINZI WA KUTOSHA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300