House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
BEI
TSH 250,000/= KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 6
SIFA
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
FENSI KUBWA
PARKING
UKILIPIA KODI HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TU
LOCATION
KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2. USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
WASILIANA NASI;
0684217177, 0716834095