House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 17/08/2025
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI SUBMITER YAKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI
CONTACT
call/whatsapp..O677370515