House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ##240K
--------------------------------------------------------------------------
MAHALI ILIPO = KIMARA KOROGWE
UMBALI WA DK 15 KUTOKA
MOROGORO ROAD
DAR ES SALAAM
TANZANIA ๐น๐ฟ
--------,
SIFA ZAKE =
Chumba Master
Sebule
Jiko
Tails
Gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Ndani ya fence parking space kubwa
------
KODI ni laki 240,000 /=
Kwa mwezi
Malipo ya miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba
Kuona nyumba ni elfu 15,000 hii itadumu Mpaka upate bila kuchajiwa tena
--------------------
Coll and Whatsap
0788410350 / 0766825473