House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT MBILI TU KWENYE COMPOUND MOJA
NA MOJA NDO IPO WAZI
IPO KIMARA MWISHO KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI BAJAJI 700 BODA ELFU MOJA MPKA NYUMBAN
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO NA INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347