House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DAKIKA 15 KWAMIGUU AU BODABODA 1000
SIFA ZAKE KODI NI 160,000X6
CHUMBA MASTER KUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA NA JIKO LAKE KUBWA LANDANI
KODI NI 160,000X6
IPO WAZI INAJITEGEMEA UMEME
NA MAJI DAWASA MASAA 24 YANATOKA NDANI JIKONI NA CHOONI
KUONYESHWA SITE 15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258