House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#SEHEMU YA JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU WANASHEA WA 2
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 170K X 3X4๐
ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI PKPK SH ELFU MOJA TUU
SIMU
0712656027