House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA
NYUMBA ZIPO 3 KWENYE FENCE MOJA KIRA MOJA INAJITEGEA UMEME NA MAJI WAHI BEI SHILLING 300,000 X 6
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala kimoja ni master bedroom Sebule kubwa na
jikoni zuli open kitchen
NYUMBA NI MPYA MPYA
Hii nyumba Inakua tayali. Tareh 6 / 2025 /
Kuona nakulipa unaluhusiwa
Kupelekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
CALL 0625606710