House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1
KUTEMBEA KWA MIGUU NI DK 12_15 NA USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI DALALDALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.2
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEEBULE KUBWA MNO YA KUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI DINING ROOM KUBWA SANA UNAWEZA GEUZA KUWA CHUMBA CHA MDADA WA KAZI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING BLOCKS
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB:NYUMBA INARUDIWA RANGI UPYA KWA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
Kodi 350,000x6
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
CONT ๐
โ๏ธ #0757208653