House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI BEI 230,000X6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#KUNA WALINZI WA KAMPUNI 24 HRS NI ELFU 25 KILA MWEZI NA USAFI UMOMO
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 230,000KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
KUONYESHWA SITE 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258