House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#Repost dalali_makini_ubungo_riverside
——
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500 BODA BUKU
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6