House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT #300K π IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
HII NYUMBA BADO INAMPANGAJI NDANI ITAKUA WAZI KUHAMIA BAADA YA WIKI MOJA PINDI UFANYAPO MALIPO.
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
REZEV SIMTANK
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA YAKO
ELECTRIC SECURITY
FULL PAVING BLOCK
NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO.
KODI NI LAKI 300,000 /=
KWA MWEZI.
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
NB =
1 - APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA JUU.
2 - MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO TU.
ZINGATIA HILO π«PIGA SM KWA MAELEZO ZAIDI
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37