House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
๐น๐ฟAPARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
KODI 500,000 ร 6
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING ROOM
#VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
KODI NI 500,000 ร 6 NAKUENDELEA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI 700 AU BODABODA 1000
HII NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
SERVICE CHARGE 20,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp