House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 5 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA NI
CHUMBA MASTER NA SEBULE NA JIKO NZURI INAJITEGEMEA umeme na maji nyumba ni ya gorofan
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
ANATAKIWA BACHELOR
KODI TSH NI 250,000 X 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
What saapp number 0689-547258