House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO KWENYE MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
BEI NI 220,000/= X 6
======
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA JIKO
#PARKING
#PAVING
#APARTMENT HIZI ZIMEZUNGUSHIWA FENSI YA UMEME KUZIA WEZI
BEI NI 220,000/= X 6
======
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI YA ZEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NJIA YA GARI NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
========
CONT
0683234124
0718367179