House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 200,000 x 6 ) #KIMARA_MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ BUKU
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO LA KISASA
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#NDANI YA FENSI
#KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 20,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI