House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
Hii ipo Kimara Baruti/Njia ya chuo.. Dsm dk 15
Bachelor Apartment
#Sebule
#Chumba master
#Jiko(open kitchen)
#Choo
Wapangajj wapo 3 na kila mtu anajitegemea umeme na maji yapo full
Luku yake Maji dawasa 24 hrs
Swipe left for more pictures
Bei Laki 2 x 6
Note : Kuja kuona nyumba 15,000
Dalali kodi ya mwezi 1
*kodi ni 200k miezi 6 ipo kimara baruti njia ya chuo ile ya Lami
Miez aje nayo sita rangi teyar
#0785889413
#0785889413
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ