House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA NZURI ZA KISASA INAPANGISHWA
ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI TOFAUTI NDUGU MTEJA
SEHEMU 'A'
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 250,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 150,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0715949085
0782838336