House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KILOMITA MOJA NA NUSU 1/2
USAFILI UPO MWINGI SANA BAJAJI MIA 700 BODA BUKU
BEI LAKI MOJA NA HAMSINI KWA MWEZIEI ILIPWE MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA CHUMBA MASTA
SEBULE KUBWA
INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
MAJI YANATOKA CHOONI
BEI 150,000X,6
KILA MPANGAJI ANAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KARIBUNI SANA