House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #170k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Na kibaraza cha kupikia
umeme submeter,maji Dawasco yanaflow chooni
===
Bei:170,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 8 Kwa mguu toka Morogoro Road
===
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
NB: Hapa Mkaaji inatakiwa wasela wakike au wakiume
===
0679447338
0753454167