House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 31/01/2025 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI 
#KUNA WALINZI WA KAMPUNI 24 HRS NI ELFU 25 KILA MWEZI NA USAFI UMOMO 
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI 
#BEI NI 230,000KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0715949085
0782838336




















