House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI NI 150,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA LA KUPIKIA
TAILS GYPSUM ALUMINIUM
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
DALADALA 700
UKISHUKA DAKIKA 2 UPO NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637