House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
200,000 x3 temboni
Apartment nzuri sana
Inapangishwa kimara temboni
===
chumba Seble kubwa na jiko
Choo ndani
Bei:200,000 kwa mwezi x 3
===
Kila apartiment Inajitegemea umeme)na Maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
====
Ndani ya fence parking ipo kubwa
====
Umbali KM 2.3 Kutoka kituoni Usafiri bajaji zipo
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Contact us:-
0716223412
0683597453