House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KWA SASA IPO WAZI
PIGA SIMU
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 1
BODA 1000
KODI 250,000X5X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO LAKE NA TOILET PUBLIC YA NJE
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI NA BARABARA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI YAKO PIA YANA FLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940