House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿APARTMENT #INAPANGISHWA
✍️NB inakuwa wazi date 15 /06/2024 kuona nakulipa luksa kabisa
📍Kimara korogwe kilungule
⏰km 1.8 kutoka Morogoro Road usafili bajaji 500 ukishuka dk 5 boda 1000
🏠SIFAZAKE
🔷Chumba master
🔷Sebule
🔷jiko
🔷Umeme Luku share 2 kila mmoja ana submiter yake
🔷Maji yanaflow ndani masaa 24
👉Hii ipo wazi kabisa una hamia now
🔶Kodi Tsh 180,000/=x6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali roony Tsh 180,000/=
🔶Service charge Tsh 15,000/-
#Piga_simu
☎ 0627977383
Karibu Sana Ndg Mteja🧐👍