House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM 1.8 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN HAKUNA KUTOKWA JASHO HAPA
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
.
.
NYUMBAN INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI MAZINGIRA MAZURI
.
.
IPO NDAN YA FENSI PARKING SPACE HAKUNA PERVING BLOCK SAFI
.
.
KODI NI 190,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
DALALI KISMATI UBUNGO ๐คซ ๐ฅ
MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
DALALI KISMATI UBUNGO ๐คซ๐ฅ
0772850032