House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA MPYAA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA NA JIKO LAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 120K X6//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI ELFU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#JIKO SAFI/ OPEN KITCHEN
#TILES / GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
PIGA SIMU 0789049684
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.