House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA NA JIKO LAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 150K X4
ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE.
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#OPEN KITCHEN KUBWA SANA
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODABODA 1000 SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37