House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZUR SANA
=================
INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
=================
KODI NI 150,000/= KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
================
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE
==================
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
===================
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO
===================
UMBALI KM 1,5 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO USAFIRI IPO WA UAKIKA BAJAJI 700 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
====================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==================
CONTACT
0742260844