House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZUR
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO
UMBALI KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE
SERVICE CHARGE ELF 15
CONTACT:O677370515